Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Orodha Ya Vitamu Tamu Vya Kurudi Shuleni

3 min read
Orodha  Ya Vitamu Tamu Vya Kurudi ShuleniOrodha  Ya Vitamu Tamu Vya Kurudi Shuleni

Iwapo unatafuta vitamu tamu vya mtoto wako vya kurudi shuleni. Orodha hii itakusaidia kufanya uamuzi.

Bakuli ya chakula cha mchana cha mtoto wako kina hitaji vitamu tamu vya kurudi shuleni. Hata kama watoto wako wanalishwa chakula cha mchana shuleni, baadhi ya wazazi hupenda watoto wao wabebe chakula. Huenda ikawa ni njia yao ya kuhakikisha kuwa watoto wao wanakula ama kuangazia vitamu tamu kama vitu vya kula baada ya lishe yao.

Walakini, iwapo watoto wako wako katika shule ya sekondari ambayo ni ya bweni, vitamu tamu hivi na sababu ya kuwatengenezea huenda zikabadilika. Vyakula vinavyo kuwa katika baadhi ya mashule ya bweni huenda vikawa si vitamu ama havitoshi ama pia kukosa virutubisho tosha. Kwa hivyo baadhi ya wazazi huwa tafutia watoto vitamu tamu vya kuongeza kwa vyakula ambavyo watakula shuleni.

Vitamu tamu vya kurudi shuleni: Aina 6 ya vitamu tamu

 

Kuna vitamu tamu vingi ambavyo unaweza wanunulia watoto wako wanapo rudi shuleni. Tuna angazia baadhi ya vitamu tamu vya chamcha.

 

  1. Vibanzi vya ndizi

Plantain chips back to school snacks

Vibanzi vya ndizi huwa maarufu sana katika baadhi ya sehemu nchini na katika nchi kama vile Nigeria. Vibanzi hivi vinapendwa kwa ladha yake tamu. Na vinadumu kwa muda kabla ya kuharibika.

 

Vibanzi vya ndizi vina tengenezwa kutokana na ndizi, zilizo iva ama mbichi kulingana na matakwa yako. Na kutoka kwake, vitamu tamu hutengenezwa, kama vile, ndizi za kuchoma, kukaanga na vinginevyo. Unaweza chagua kati ya hizi.

 

  1. Chin-chin- Mandizi Ngumu

Chin Chin Back To school snacks

Chanzo: Immaculate Bites

 

Mbali na kupendwa kwa ugumu na ladha yake tamu. Ngumu kama zinavyo julikana, zina uwezo wa kudumu wiki nne ama tano iwapo zinawekwa kwa kontena isiyo pitisha hewa. Zina tengenezwa kwa kutengeneza unga, na kuchanganywa na yai, siagi, sukari. Unaweza oka ama uzikaange. Watu wengi wanapenda ziki kaangwa.

 

  1. Chembe za nyama maarufu kama Meat pie

Meat pie ni bahasha ya viazi vilivyo pikwa, vyenye pilipili na nyama iliyo siagwa, mboga na karoti kama unavyo penda. Ina ladha ya kupendeza sana. Watu wengi wanapenda kuzioka, ila bado unaweza kaanga kwa kutumia mafuta.

 

  1. Candy za nazi maarufu kama Coconut candy

Coconut Candy

Chanzo: Pulse

Mbali na kupendwa sana na watoto wengi, kaimati zinaweza liwa kabla ya chamcha ama wakati wowote. Zina ugumu na ladha ya sukari na ni rahisi kutafuna. Iwapo zinahitaji kazi nyingi sana unapo zitengeneza. Kuwava nazi unapo kanda unga yako. Pia baadhi ya watu huamua kutumia maji wanapo zitengeneza na wengine maziwa tupu.

 

  1. Kaimati maarufu kama Puff-puff

vitamu tamu vya kurudi shuleni

Chanzo: Hint

Kaimati ni maarufu sana katika sehemu zote nchini hata Afrika nchi kama Nigeria, Cameroon na Sierra Leone. Hazichukui muda mrefu kutengeneza ila siku hizi watu huongeza vitu vingi wanapo zitengeneza. Kaimati zina ladha na ni rahisi kutafuna.

 

  1. Mayai ya kukunja maarufu kama Egg rolls

vitamu tamu vya kurudi shuleni

Chanzo: Nigerian food tv

Aina hii ya yai ni tofauti sana na mayai yanayo tengenezwa na wachina. Ni mayai ya kukunjwa tu kama jina linavyo sema. Yai iliyo chemshwa ina kunjwa kuwa mpira na kisha kukaangwa. Siri ya kutengeneza yai la aina hii lililo na ladha ni kukanda unga yako vyema. Watoto wako wanaweza beba mayai haya pamoja na sharubati.

Soma pia: The Perfect Back To School Preparation Checklist For Mums.

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Lydia Ume na kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Snacks
  • /
  • Orodha Ya Vitamu Tamu Vya Kurudi Shuleni
Share:
  • Vitafunio Bora Na Vyenye Afya Kwa Mama Mwenye Mimba

    Vitafunio Bora Na Vyenye Afya Kwa Mama Mwenye Mimba

  • Vitafunio Vitano Wakati Wa Ujauzito

    Vitafunio Vitano Wakati Wa Ujauzito

  • Mitindo Ya Kusongwa Nywele Ya Kurudi Shuleni Inayo Pendeza

    Mitindo Ya Kusongwa Nywele Ya Kurudi Shuleni Inayo Pendeza

  • Makubaliano wakati wa kurudi shule kwa kila mwanafunzi nchini Kenya

    Makubaliano wakati wa kurudi shule kwa kila mwanafunzi nchini Kenya

  • Vitafunio Bora Na Vyenye Afya Kwa Mama Mwenye Mimba

    Vitafunio Bora Na Vyenye Afya Kwa Mama Mwenye Mimba

  • Vitafunio Vitano Wakati Wa Ujauzito

    Vitafunio Vitano Wakati Wa Ujauzito

  • Mitindo Ya Kusongwa Nywele Ya Kurudi Shuleni Inayo Pendeza

    Mitindo Ya Kusongwa Nywele Ya Kurudi Shuleni Inayo Pendeza

  • Makubaliano wakati wa kurudi shule kwa kila mwanafunzi nchini Kenya

    Makubaliano wakati wa kurudi shule kwa kila mwanafunzi nchini Kenya

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it