Vitu 7 Ambavyo Vinawavutia Wanaume Kwa Wanawake Kulingana na Sayansi!

Utafiti kutoka kwa somo lililo fanyika Chuo Kikuu cha Manchester lilipata kuwa midomo ndiyo sehemu inayo vutia zaidi ya fizikia ya mwanamke.
Wanaume ni viumbe wa kifizikia, yani, wanavutiwa na wanacho kiona. Huku wanawake wakiwa viumbe wa kusikia, kumaanisha kwamba, wanavutiwa kwa wanaume kulingana na sifa na ahadi wanazo pata. Kulingana na Sayansi, hivi ndivyo vitu vinavyo wavutia wanaume kwa wanawake zaidi.
Vitu vinavyo wavutia wanaume kwa wanawake
- Muundo wa uso
Hapa ni pale ambapo upande wa kulia una lingana na upande wa kushoto. Vitu vinavyo lingana na kuwa sawa kutoka upande mmoja hadi mwingine, na kulingana na watafiti, hili lina vutia zaidi.
2. Midomo
Utafiti kutoka kwa somo lililo fanyika Chuo Kikuu cha Manchester lilipata kuwa midomo ndiyo sehemu inayo vutia zaidi ya fizikia ya mwanamke. Ili kukubaliana na hili, yote unayo hitaji ni kutazama jinsi inavyo vutia hasa ukiwa na lipstick nyekundu.
3. Kutazamana machoni
Sahau msemo kuwa macho kuwa dirisha la moyo, kwa sababu pia ndiyo mlango wa kupata umakini wa mpenzi wako. Sehemu ya ndani ya jicho lako maarufu kama pupil hupanuka unapo mwona mtu unaye mpenda. Watu wanavutiwa na pupil iliyo kubwa. Usisahau kumwangalia mtu unaye mpenda machoni.
4. Meno ya kuvutia
Utafiti una dhibitisha kuwa meno meupe ni kitu ambacho kinawavutia wanaume wengi kwa wanawake. Kwa hivyo, unapo enda kupatana na mtu aliye na kusudi la kuwa mpenzi wako, usisahau kutabasamu na kumwonyesha meno yako meupe yanayo vutia kwa sana.
5. Tabasamu la kupendeza
Somo lingine linapendekeza kuwa wanaume wanavutiwa kwa wanawake wanao tabasamu kwa sana. Hili ni kweli kwani kutabasamu kunamfanya mwanamke kuvutia zaidi ikilinganishwa na kukasirika kila mara. Na bila shaka wanaume wanavutiwa zaidi kwa wanawake wanao tabasamu zaidi.
6. Sauti laini
Sauti laini na ya juu zaidi ina vutia zaidi. Watafiti wana shauri kwa sababu sauti za juu zina ashiria, mwili mdogo ambao jamii yetu ina angazia kama aina ya mwili unao vutia na kupendeza zaidi. Usione haya ikiwa una sauti laini na ya juu. Kwani hiyo ndiyo inayo wavutia wanaume kwako.
7. Rangi nyekundu
Rangi nyekundu ina wavutia wanaume zaidi, kwa sababu ina pendeza na ni kali. Wanawake walio chukua picha wakiwa na mavazi mekundu na picha wakiwa na mavazi ya rangi tofauti. Walipata pongezi zaidi kwa picha waliyo kuwa na vazi lekundu.
Nafasi kubwa ni kuwa, mojawapo kati ya vitu vinavyo wavutia wanaume kwa wanawake tulivyo angazia ndicho kilicho mvuta mumeo kwako. Mwulize leo!
Soma pia: Jinsi Ya Kufurahia Mapenzi Baada Ya Kujifungua Kupitia Upasuaji Wa C-section