Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Vyakula Bora Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume Kwa Wanaume!

3 min read
Vyakula Bora Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume Kwa Wanaume!Vyakula Bora Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume Kwa Wanaume!

Wanandoa wanashirikiana katika kutoshelezana kimapenzi. Ili tendo la mapenzi linoge, na wote wawili waridhiane, ni muhimu kwa mwanamme kuwa na uwezo na nguvu tosha za kiume.

Tendo la ndoa ni kawaida kwa wanandoa na pia linakubalika. Ila kwa watu ambao bado sio kitu kimoja ama hawaja funga ndoa halikubaliki. Wanandoa wanashirikiana katika kutoshelezana kimapenzi. Ili tendo la mapenzi linoge, na wote wawili waridhiane, ni muhimu kwa mwanamme kuwa na uwezo na nguvu tosha za kiume. Tuna kuelimisha kuhusu vyakula bora kwa mwanamme na vinavyo msaidia kutekeleza jukumu lake kitandani kwa ustadi.

Vyakula bora kwa mwanamme

  1. Tangawizi

kuanzisha kipindi chako cha hedhi

Kiungo hiki mbali na kuzipa chakula ladha ni muhimu kwa afya ya wanaume. Tangawizi ina uwezo wa kuboresha mzunguko wa damu mwilini. Damu inapo zunguka vyema mwilini na kufika kwenye viungo vyote ikiwepo kiungo cha kiume. Mwanamme anapata nguvu tosha za kumridhisha mwenza wake kitandani.

2. Mihogo

vyakula bora kwa wanaume

Chakula hiki kilicho sifika na wazee wetu kutoka enzi za kale hakikusifiwa bure. Ila kwa sababu walifahamu faida zake hasa kwenye tendo la ndoa. Ina imarisha mishipa na kuiwezesha kusafirisha damu vyema mwilini. Kiungo cha kiume kinapo pata damu tosha, kinaweza stahimili kumpendeza mwanamke kwa muda.

Watu wanao toka kwenye sehemu ambapo mihogo inalimwa na kuliwa kwa sana ni nadra sana kukumbana na tatizo la nguvu za kiume.

3. Samaki 

vyakula bora kwa wanaume

Kuna aina tofauti za samaki. Ila samaki anaye sifika sana  kusaidia kwenye shughuli za  chumba cha kulala ni samaki wa pweza. Samaki wa aina hii anamsaidia mwanamke kuwa na uwezo wa kumudu tendo la kindoa bila tatizo lolote.

4. Tikiti maji

vyakula bora kwa wanaume

Tunda lenye, wingi wa maji, wingi wa ladha na faida tele kwa kaka zetu. Lina saidia pakubwa katika kusawazisha mgandamizo wa damu. Ikiwa una tatizo la shinikizo la damu, hakikisha kuwa tunda hili ni rafiki yako wa karibu na kwa upole utaanza kushuhudia matatizo hayo yakiisha. Lina julikana kwa kuwapa wanaume hamu ya kingono na pia kuwasaidia kustahimili tendo hilo hadi wanapo tosheleza wachumba wao.

5. Asali

vyakula usivyofaa kuhifadhi kwenye jokofu

Asali asili iliyo tokana na ndege na sio ya kutengenezwa kutumia sukari ina manufaa mengi ya kiafya. Mojawapo ya manufaa haya ni kusaidia katika kusawazisha mzunguko wa damu mwilini. Na bila shaka damu inapo kuwa sawa mwilini mwanamme ana uwezo mzuri wa kumudu mikito bila tatizo lolote lile. Mpe mwenza wako angalau kijiko kimoja cha asali kila jioni. Kwa njia hii una uhakika usiku wenu utakuwa mwanana kabisa.

6. Pilipili

Mengi yamesemwa kuhusu pilipili na uhusiano wake kwa kusisimua hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume. Bila shaka lisemwalo lipo. Zina saidia kuchechemua sehemu tofauti za mwili ikiwepo sehemu za siri zinazo husika na tendo la ngono.

Kuwa makini kuongeza kiwango kidogo cha pilipili kwenye chakula cha mume wako mara kwa mara.

Soma pia: Wanaume Hapa Kuna Ukweli Ambao Mchumba Wako Kamwe Hataki Kukubali

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Relationship & Sex
  • /
  • Vyakula Bora Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume Kwa Wanaume!
Share:
  • Orodha Ya Chakula Cha Kuongeza Nguvu Za Kiume

    Orodha Ya Chakula Cha Kuongeza Nguvu Za Kiume

  • Vyakula Bora Kwa Afya Ya Mwanamme Ili Kuboresha Afya Ya Kiume

    Vyakula Bora Kwa Afya Ya Mwanamme Ili Kuboresha Afya Ya Kiume

  • Je, Kufanya Ngono Asubuhi Kuna Ongeza Nafasi Zako Za Kutunga Mimba?

    Je, Kufanya Ngono Asubuhi Kuna Ongeza Nafasi Zako Za Kutunga Mimba?

  • Vyakula 7 Bora Ambavyo Wanaume Wote Wanapaswa Kukula

    Vyakula 7 Bora Ambavyo Wanaume Wote Wanapaswa Kukula

  • Orodha Ya Chakula Cha Kuongeza Nguvu Za Kiume

    Orodha Ya Chakula Cha Kuongeza Nguvu Za Kiume

  • Vyakula Bora Kwa Afya Ya Mwanamme Ili Kuboresha Afya Ya Kiume

    Vyakula Bora Kwa Afya Ya Mwanamme Ili Kuboresha Afya Ya Kiume

  • Je, Kufanya Ngono Asubuhi Kuna Ongeza Nafasi Zako Za Kutunga Mimba?

    Je, Kufanya Ngono Asubuhi Kuna Ongeza Nafasi Zako Za Kutunga Mimba?

  • Vyakula 7 Bora Ambavyo Wanaume Wote Wanapaswa Kukula

    Vyakula 7 Bora Ambavyo Wanaume Wote Wanapaswa Kukula

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it