Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Vyakula 8 Vilivyo Bora Kwa Watu Walio Na Kisukari

3 min read
Vyakula 8 Vilivyo Bora Kwa Watu Walio Na KisukariVyakula 8 Vilivyo Bora Kwa Watu Walio Na Kisukari

Kwa watu walio na kisukari, ni vyema kuhakikisha kuwa wanakula vyakula vya mimea zaidi. Ongeza maharagwe na karoti kwenye lishe yako.

Lishe ni muhimu sana kwa afya, na ili kuwa na afya bora, ni vyema kuhakikisha kuwa lishe yako ina vyakula vyenye virutubisho tosha. Makala haya yana angazia vyakula bora kwa watu walio na kisukari. Pia kwa wasio ugua hali hii, vitasaidia kupunguza nafasi zako za kuugua maradhi haya.

Vyakula Bora Vya Kulinda Dhidi Ya Kisukari

  1. Oats

Oats ni chakula kizuri sana kwa watu wanao tatizika na hali ya kisukari. Hii ni kwa sababu zinasaidia kulinda dhidi ya aina ya pili ya kisukari. Pia, zina viwango vya juu vya magnesium. Inasaidia mwili kutumia glukosi na kutoa homoni ya insulin.

2. Samaki

vyakula vya walio na kisukari

Samaki ina fahamika kuwa chanzo kikuu cha protini. Mbali na kuwa na viwango vingi vya protini, pia ina ufuta spesheli unao tibu hali ya kufura. Kula samaki mara kwa mara kunasaidia kupunguza hatari ya kupata matatizo ya kiafya hasa mshtuko wa moyo unaosababishwa na kisukari.

3. Nyanya

vyakula usivyofaa kuhifadhi kwenye jokofu

Nyanya ni matunda yaliyo na viwango vya juu vya vitamini A na C, na pia antioxidants. Antioxidants hizi zinapunguza hatari ya maradhi ya moyo. Nyanya ni mojawapo ya vyakula bora kwa watu walio na kisukari.

4. Viazi vitamu

vyakula vya walio na kisukari

Watu walio na kisukari wana shauriwa kujitenga na vyakula vilivyo na wanga nyingi. Badala yake wanaweza tumia viazi vitamu. Ina antioxidants ambazo ni muhimu sana kwa watu wanao ugua kisukari.

5. Mchicha

spinach

Mchicha ni mojawapo ya mboga ambazo zimedhihirishwa kupunguza hatari ya kupata kisukari. Ina viwango vya juu vya fibre, lutein, folate, kalisi na iron. Pia ni chanzo kizuri cha fibre mwilini. Ni chakula kizuri cha kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu na kisukari.

6. Njugu

Njugu ni chanzo kizuri cha virutubisho tofauti vyenye manufaa ya kiafya. Njugu zina ufuta ulio rahisi kuchakata na kutumika mwilini. Utafiti ulio fanyika ulipata kuwa watu wanao kula njugu mara kwa mara wako katika hatari ndogo ya kuugua kisukari ikilinganishwa na wasio kula njugu.

7. Zabibu

matunda ya kuepuka katika mimba

Zabibu zina manufaa mengi hasa kwa waume. Kula matunda zaidi hasa zabibu na mengine yaliyo kwenye familia hii kume husishwa na kupunguza hatari ya kuugua aina ya pili ya kisukari. Ni vyema kuhakikisha kuwa unakula matunda ya aina hii angalau mara mbili kwa wiki.

8. Mayai

eggs and heart diseased

Mayai ni vyanzo vikuu vya protini. Unapo yakula asubuhi, utahisi kushiba kwa muda mrefu. Yana virutubisho zaidi ikilinganishwa na nyama za aina nyingi. Pia, watu wengi wana shauriwa wafuate vyakula vinavyo tokana na mimea. Kwa watu walio na kisukari, wana shauriwa kula yai mara tatu kwa wingi.

Kwa watu walio na kisukari, ni vyema kuhakikisha kuwa wanakula vyakula vya mimea zaidi. Ongeza maharagwe na karoti kwenye lishe yako. Epuka vyakula vilivyo na viwango vingi vya wanga.

Chanzo: Healthline

Soma Pia: Dumisha Afya Ya Mwili Wako Kwa Kula Vyakula Hivi Kama Kiamsha Kinywa Chako

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Meal Planner
  • /
  • Vyakula 8 Vilivyo Bora Kwa Watu Walio Na Kisukari
Share:
  • Jinsi Ya Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Lishe Ya Alkaline

    Jinsi Ya Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Lishe Ya Alkaline

  • Lishe Ni Nini Na Inapaswa Kuwa Na Vyakula Vipi Bora Kwa Afya?

    Lishe Ni Nini Na Inapaswa Kuwa Na Vyakula Vipi Bora Kwa Afya?

  • Krimu Bora Zaidi Kwa Ngozi Ya Chokleti Unazoweza Kutumia Pamoja Na Familia Yako

    Krimu Bora Zaidi Kwa Ngozi Ya Chokleti Unazoweza Kutumia Pamoja Na Familia Yako

  • Aina Za Vyakula Vinavyo Kuweka Katika Hatari Ya Kuugua Kisukari

    Aina Za Vyakula Vinavyo Kuweka Katika Hatari Ya Kuugua Kisukari

  • Jinsi Ya Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Lishe Ya Alkaline

    Jinsi Ya Kupunguza Uzito Wa Mwili Kwa Kutumia Lishe Ya Alkaline

  • Lishe Ni Nini Na Inapaswa Kuwa Na Vyakula Vipi Bora Kwa Afya?

    Lishe Ni Nini Na Inapaswa Kuwa Na Vyakula Vipi Bora Kwa Afya?

  • Krimu Bora Zaidi Kwa Ngozi Ya Chokleti Unazoweza Kutumia Pamoja Na Familia Yako

    Krimu Bora Zaidi Kwa Ngozi Ya Chokleti Unazoweza Kutumia Pamoja Na Familia Yako

  • Aina Za Vyakula Vinavyo Kuweka Katika Hatari Ya Kuugua Kisukari

    Aina Za Vyakula Vinavyo Kuweka Katika Hatari Ya Kuugua Kisukari

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it