Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Vyakula 8 Vinavyo Ua Manii Ambavyo Wanaume Wanapaswa Kujitenga Navyo!

3masomo ya dakika
Vyakula 8 Vinavyo Ua Manii Ambavyo Wanaume Wanapaswa Kujitenga Navyo!Vyakula 8 Vinavyo Ua Manii Ambavyo Wanaume Wanapaswa Kujitenga Navyo!

Ikiwa wewe na mchumba wako mna jaribu kutunga mimba, ni vyema kuepuka vyakula hivi vinavyo ua manii ili kurahisisha mchakato wa kupata mtoto!

Orodha ya vyakula vinavyo ua manii

1.Switi na vinywaji vyenye sukari

bake with eggs

Sukari nyingi haita kufanya uongeze uzito tu mbali inaweza kufanya uugue matatizo ya moyo, pia inaweza punguza kiwango cha manii mwili na ubora wa manii yako. Hii ndiyo sababu kwa nini ni muhimu kudhibiti ulaji wako wa sukari.

2. Nyama iliyo chakatwa

Nigerian food for breastfeeding mothers

Nyama iliyo chakatwa kama vile bacon, ham na hotdogs huwa na kemikali nyingi za kuhifadhi ambazo zinaweza athiri ubora wa manii yako. Baadhi ya nyama zilizo chakatwa huwa na homoni zaidi ikilinganishwa na nyama ya kawaida, na hivyo basi kuathiri viwango vyako vya testosterone.

3. Vyakula vilivyo hifadhiwa kwenye kontena

Kontena huwa na BPA, ambayo ni kemikali iliyo na athari sawa na estrogen, na hivyo kupunguza ubora na idadi yako ya manii.

4. Nyama za viungo

components of the Mediterranean diet

Nyama za viungo kama matumbo, maini na kadhalika hata kama zina ladha, sio nzuri kwa manii yako kwani zina viwango vingi vya cadmium, madini yanayo athiri kiwango chako cha manii.

5. Vileo

Vyakula 8 Vinavyo Ua Manii Ambavyo Wanaume Wanapaswa Kujitenga Navyo!

Viwango vingi vya pombe huongeza estrogen mwilini mwako na kupunguza nambari ya manii mwilini. Pombe inaweza athiri pakubwa maini yako, kwa hivyo ni vizuri kujitenga mbali nayo ikiwezekana.

6. Bidhaa za soybean

Vyakula 8 Vinavyo Ua Manii Ambavyo Wanaume Wanapaswa Kujitenga Navyo!

Soy inaweza kuwa na ladha na yenye afya, lakini ikiwa unajaribu kupata mtoto, huenda ikawa ni wazo la busara kujitenga na viwango vingi vya soy na bidhaa za soy kwani kula kiwango kikubwa cha soy kina weza iga athari za estrogen mwilini mwako, na kusababisha viwango vidogo vya manii.

7. Maziwa nzima na bidhaa za maziwa

natural ways of skin lightening

Kemikali za kuuwa wadudu na kemikali zingine zilizoko kwenye mazingira huenda zikakuliwa na ng'ombe, na kushikana na ufuta kwenye mwili wa ng'ombe na kuenda kwenye maziwa. Kemikali hizi zinaweza sababisha matatizo ya manii kama vile kiwango kidogo cha manii.

Kwa hivyo ni vyema kupunguza unywaji wa maziwa na bidhaa za maziwa ikiwa una jaribu kutunga mimba.

8. Matunda na mboga zenye kemikali za kuua wadudu na za kuhifadhi

More Tips About Eating Fruit wen Pregnant

Kemikali hizi huenda zikawa nzuri kwa kuweka mboga hizi ziwe freshi na kuto liwa na wadudu, lakini zinaweza kuwa na athari sugu kwa mwili wako. Baadhi ya kemikali hizi zinajulikana vyema kusababisha ugumba kwenye wanaume, kwa hivyo ni vizuri kula matunda na mboga organic ama zilizo kuzwa kutumia mbolea na sio kemikali. Ili kuhakikisha kuwa chakula unacho kula hakina kemikali mbaya.

Chanzo: smartparents.sg, taifa leo

Soma Pia:Vidokezo Vya Kukusaidia Kujua Ikiwa Manii Yana Afya Kwa Kuangalia

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • Health
  • /
  • Vyakula 8 Vinavyo Ua Manii Ambavyo Wanaume Wanapaswa Kujitenga Navyo!
Gawa:
  • Vyakula 8 Vinavvyo ua Manii Vilivyo Hatari Kwa Wanaume

    Vyakula 8 Vinavvyo ua Manii Vilivyo Hatari Kwa Wanaume

  • Vyakula 5 Vya Kuboresha Ubora Na Idadi Ya Manii Mwilini Mwako

    Vyakula 5 Vya Kuboresha Ubora Na Idadi Ya Manii Mwilini Mwako

  • Vidokezo Vya Kukusaidia Kujua Ikiwa Manii Yana Afya Kwa Kuangalia

    Vidokezo Vya Kukusaidia Kujua Ikiwa Manii Yana Afya Kwa Kuangalia

  • Kula Vyakula Hivi Kuongeza Idadi Ya Manii Yako

    Kula Vyakula Hivi Kuongeza Idadi Ya Manii Yako

  • Vyakula 8 Vinavvyo ua Manii Vilivyo Hatari Kwa Wanaume

    Vyakula 8 Vinavvyo ua Manii Vilivyo Hatari Kwa Wanaume

  • Vyakula 5 Vya Kuboresha Ubora Na Idadi Ya Manii Mwilini Mwako

    Vyakula 5 Vya Kuboresha Ubora Na Idadi Ya Manii Mwilini Mwako

  • Vidokezo Vya Kukusaidia Kujua Ikiwa Manii Yana Afya Kwa Kuangalia

    Vidokezo Vya Kukusaidia Kujua Ikiwa Manii Yana Afya Kwa Kuangalia

  • Kula Vyakula Hivi Kuongeza Idadi Ya Manii Yako

    Kula Vyakula Hivi Kuongeza Idadi Ya Manii Yako

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it