Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Orodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto Kirahisi

3 min read
Orodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto KirahisiOrodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto Kirahisi

Tamaduni tofauti huwa na imani tofauti kuhusu vyakula unavyo paswa kula ili kupata mimba kirahisi, na pia chakula unacho stahili kuepuka. Sayansi ime egemeza na kuto kubaliana na imani nyingi kwa miaka mingi. Lakini orodha hii inazidi kubadilika. Kwa sasa, kuna utafiti unao fanyika kwenye makala ya Umarekani cha Obstetrics na Gynecology na Chuo Kikuu cha Havard ambao umedhihirisha lishe bora iliyo na vyakula vya kupata mimba kirahisi kwa wanawake!.

Vyakula Vya Kupata Mimba Kirahisi: Vyakula 5 Muhimu

1.Chakula kilicho na wingi wa omega-3 fatty acids kama vile salmon

sahani ya mlo ya mama mjamzito

Ni maarifa ya kawaida kuwa omega-3 fatty acids zinaweza imarisha utendaji kazi wa akili yako, lakini, ulifahamu kuwa ni nzuri pia katika ujauzito? Zina manufaa haya:

  • Kuongeza mzunguko wa damu kwa viungo vya uzalishaji kwa wake na waume
  • Kuboresha utoaji wa kamasi la uke, na kusaidia katika kudhibiti homoni mwilini na kuhimiza kupevuka kwa yai (ovulation)
  • Ni muhimu katika kudhibiti uhai wa seli za manii kama DHA
  • Inapatikana pia kwa mayai, vyakula vilivyo ongezwa DHA na tembe ikiwa hupendi salmon

2. Mboga za kijani

vegetables

Mboga za kijana kama mchicha, lettuce na arugula zina julikana kuwa na virutubisho vingi vyenye manufaa kwa uzalishaji. Kama vile:

  • Folate, inayo ongeza nafasi na kutarajiwa kwa kupevuka kwa yai
  • Madini kama kalisi na iron, zinazo hitajika kwa utunzaji kabla ya kujifungua, kama vile kuepuka changamoto za uti wa mgongo na ubongo katika wiki za kwanza chache za ujauzito
  • Folic acid, inayo boresha ugawaji wa seli na kuiga DNA-muhimu kwa ujauzito wenye afya!

3. Nafaka nzima

Orodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto Kirahisi

Nafaka nzima kama mchele wa hudhurungi, oatmeal na mtama zina virutubisho muhimu vinavyo hitajika katika kutunga mimba kwenye mafanikio, kama vile:

  • Vitamini B: B9 na B12 ni muhimu sana kwa ujauzito; masomo yana onyesha kuwa ukosefu wa B12 tosha una husishwa na ugumba
  • Fibre: inayo saidia katika kutoa estrogen zaidi na kusawazisha viwango vya sukari kwenye damu
  • Antioxidants: kulinda seli kama yai na viungo vinavyo tengeneza homoni za uzalishaji na kuto haribika.

4.Vyakula vya kupata mimba kirahisi: Maharagwe

Orodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto Kirahisi

Kulingana na sayansi, maharagwe yanaweza ongeza nafasi zako za kutunga mimba kirahisi.

  • Maharagwe yana wingi wa folate, fibre na ni vyanzo vizuri vya protini na kuyafanya vyakula vizuri vya kutunga kwa urahisi.
  • Utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Harvard kili angalia wauguzi wanawake 17,500 walio kuwa na matatizo ya hapo awali ya kutunga mimba. Waligundua kuwa:
    • Wanawake walio kula protini kutoka kwa wanyama walikuwa na asilimia 39 kidogo za kutunga mimba, wakati ambapo walio kula protini za mimea walikuwa na matatizo machache ya kupata mimba
    • Maharagwe yana viwango vingi vya iron ambayo ni muhimu katika kuepuka kukosa damu tosha mwilini ukiwa na mimba

5.Chokleti nyeusi

vitamu tamu katika mimba

Cha kushangaza ni kuwa chokleti pia inasaidia! Tammy wa Nutrition Twins anasema kuwa chokleti nyeusi "ni muhimu kwa mzunguko wa damu na ni nzuri kwa uzalishaji." Kwa hivyo, wanao tarajia kuitwa baba, kuwa makini. Wana sayansi waligundua kuwa chokleti nyeusi:

  • Ulaji wake unaweza boresha ubora wa shahawa
  • Ina L-arginine ambayo ni amino acid inayo weza kuongeza idadi ya manii, mwendo wa manii na ukubwa wake
  • Ina antioidants nyingi ambazo:
    • hukabiliana na free radicals kutokana kwa kemikali kwenye hewa zinazo husika na ugumba kwenye wanaume
    • Kuboresha afya ya mtima
    • Pia inaweza patikana kwenye blueberries na matunda ya citrus

Soma Pia:Je, Kufanya Ngono Asubuhi Kuna Ongeza Nafasi Zako Za Kutunga Mimba?

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Trying To Conceive
  • /
  • Orodha Ya Vyakula Bora Vya Kukusaidia Kupata Mtoto Kirahisi
Share:
  • Jinsi Ya Kupata Mimba Haraka Kwa Wanawake

    Jinsi Ya Kupata Mimba Haraka Kwa Wanawake

  • Orodha Ya Tembe Za Kukusaidia Kupata Mimba

    Orodha Ya Tembe Za Kukusaidia Kupata Mimba

  • Uandalizi Muhimu Maishani Kabla Ya Kupata Mimba

    Uandalizi Muhimu Maishani Kabla Ya Kupata Mimba

  • Kuna Uwezekano Wa Mama Kupata Mimba Katika Umri Wa Ugumba?

    Kuna Uwezekano Wa Mama Kupata Mimba Katika Umri Wa Ugumba?

  • Jinsi Ya Kupata Mimba Haraka Kwa Wanawake

    Jinsi Ya Kupata Mimba Haraka Kwa Wanawake

  • Orodha Ya Tembe Za Kukusaidia Kupata Mimba

    Orodha Ya Tembe Za Kukusaidia Kupata Mimba

  • Uandalizi Muhimu Maishani Kabla Ya Kupata Mimba

    Uandalizi Muhimu Maishani Kabla Ya Kupata Mimba

  • Kuna Uwezekano Wa Mama Kupata Mimba Katika Umri Wa Ugumba?

    Kuna Uwezekano Wa Mama Kupata Mimba Katika Umri Wa Ugumba?

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it