Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Vyakula Bora Katika Kusafisha Kizazi Na Kuegemeza Ukuaji Wa Fetusi

2 min read
Vyakula Bora Katika Kusafisha Kizazi Na Kuegemeza Ukuaji Wa FetusiVyakula Bora Katika Kusafisha Kizazi Na Kuegemeza Ukuaji Wa Fetusi

Vyakula vya kusafisha kizazi vina wingi wa vitamini ambazo ni muhimu katika kuboresha mazingira ndani ya mji wa uzazi, na kuegemeza ukuaji wa fetusi.

Kusafisha kizazi ni muhimu kwa wanawake wote, hasa walio na matamanio ya kupata watoto hivi karibuni. Kuna njia tofauti za kusafisha kizaz. Kwa kutumia madawa, kufanya mazoezi ama kuzingatia vyakula vya kusafisha kizazi ama yote haya kwa pamoja.

Lishe bora na mazoezi ni muhimu kwa kila mmoja wetu na muhimu zaidi kwa mwanamke aliye na lengo la kuwa mama hivi karibuni. Kufanya mazoezi kuna boresha mzunguko wa damu mwilini na kusawasisha vichocheo vilivyo muhimu katika utendaji kazi wa mji wa uzazi. Vichocheo visipokuwa sawa mwilini, utendaji kazi katika mji wa uzazi huathirika na kufanya mazingira ndani yake kutoweza kuegemesha ukuaji wa fetusi. Ni muhimu kwa vichocheo kuwa sawa wakati wote.

Matatizo ya uzalishaji

vyakula vya kusafisha kizazi

Ni muhimu kwa kila mtu kuzingatia ulaji wa lishe bora. Mwanamke aliye katika miaka yake ya uzalishaji anapaswa kuwa makini na lishe yake. Mwanadada anapokaa kwa muda mrefu bila kujifungua, ni ishara kuwa homoni zake haziko sawa mwilini. Tatizo la kutopata mimba hufanyika kwa wote wanawake kwa wanaume.

Kwa mwanamke aliye na matatizo ya uzalishaji, atahisi maumivu kwenye tumbo ya chini, kuumwa anapojihusisha katika tendo la ndoa na kutokwa na uchafu ukeni. Kwa wanaume, huenda wakashindwa kufanya kitendo cha ndoa kwa muda mrefu, kutoa kiwango kidogo cha manii ama manii yasiyo na uwezo wa kuogelea.

Vyakula vya kusafisha kizazi

vyakula vya kusafisha kizazi

Vitamini tosha ni muhimu kwa mwanamke anaye tarajia kupata mimba. Vitamini B inasaidia katika kuboresha mfumo wa vichocheo mwilini. Folic acid husaidia katika uzalishaji wa mayai ya uzazi. Vitamini C husaidia katika kuusafisha mfumo wa uzalishaji.

Vitamini hizi zinapatikana katika vyakula tofauti ama kwenye tembe za kuboresha vitamini ama supplements.

Vitamini A: Muhimu katika kuboresha hamu ya kufanya mapenzi. Hupatikana katika maembe, ndizi, mayai, mchicha na mboga zingine za kijani.

vyakula vya kusafisha kizazi

Vitamini C, E: Kuboresha mazingira katika mji wa uzazi ili uweze kuegemeza mimba. Hupatikana kwenye vyakula kama mayai, njugu, parachichi, mboga za kijani na viazi vitamu.

Mbali na vyakula hivi, ni muhimu kwa mwanamke kuongeza samaki kwenye lishe yake. Jitenge na unywaji wa kahawa nyingi, uvutaji wa sigara na vileo. Vyakula vya kusafisha kizazi vina wingi wa vitamini ambazo ni muhimu katika kuboresha mazingira ndani ya mji wa uzazi. Na kuegemeza ukuaji wa fetusi bila kuharibika kwa mimba.

Chanzo: Healthline

Soma Pia:Vidokezo 5 Vya Kuwa Na Ujauzito Salama Na Wenye Afya

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Vyakula Bora Katika Kusafisha Kizazi Na Kuegemeza Ukuaji Wa Fetusi
Share:
  • Athari Hasi Za Bhangi Kwa Uzalishaji Wa Kiume

    Athari Hasi Za Bhangi Kwa Uzalishaji Wa Kiume

  • Sababu Kwa Nini Sukari Nyingi Ina Athari Hasi Kwako

    Sababu Kwa Nini Sukari Nyingi Ina Athari Hasi Kwako

  • Vyanzo vya Uvimbe Baada ya Kujifungua na Jinsi ya Kuupunguza

    Vyanzo vya Uvimbe Baada ya Kujifungua na Jinsi ya Kuupunguza

  • Athari Hasi Za Bhangi Kwa Uzalishaji Wa Kiume

    Athari Hasi Za Bhangi Kwa Uzalishaji Wa Kiume

  • Sababu Kwa Nini Sukari Nyingi Ina Athari Hasi Kwako

    Sababu Kwa Nini Sukari Nyingi Ina Athari Hasi Kwako

  • Vyanzo vya Uvimbe Baada ya Kujifungua na Jinsi ya Kuupunguza

    Vyanzo vya Uvimbe Baada ya Kujifungua na Jinsi ya Kuupunguza

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it