Jinsi Ya Kujua Iwapo Mhubiri Ako Katika Illuminati

Jinsi Ya Kujua Iwapo Mhubiri Ako Katika Illuminati

Sio siri kuwa kazi ya uchungaji Nigeria kwa sasa ni biashara nzuri yenye mapato mazuri. Haijalishi iwapo unaanzia kufuatia kukosa kazi ama kama kuitwa kwako. Ila, ukitembea kilomita moja mitaani mingi, hutapata kanisa chini ya tano hapo. Kanisa za kuanzia zinapanuka kwa sana; wengi wanaamini kuwa ukuaji huu unatokana na jina la mchungaji kufuatia kufanya miujiza. Mbali na kuponya wagonjwa, wachungaji wanatabiri kufanikiwa kifedha na hata kuponya waliokufa. Wengi kati ya wachungaji wa Nigeria na wafuasi wao, wana uwezo huu wa kimiujiza ndiko kunaleta mafanikio. Hii ndiyo sababu kuwa sio habari mpya kusikia fununu kuwa wahubiri wamejiunga na illuminati. Katika makala haya tuna jadili baadhi yawachungaji walioko kwenye illuminati Nigeria.

Wachungaji Walioko Kwenye Illuminati Nigeria Ni Wagani?

pastors in illuminati in Nigeria

Swali nzuri, ila kwanza, illuminati ni nini? Jamii ya illuminati iliyo ishi karne nyingi zilizo pita na ilianzishwa na professa wa sheria wa Ujerumani, Adam Weishaupt. Wafuasi waliamini katika kutaka kujuzwa na kupigana na hili kwa kupingana na athari za kidini na kupingana na nguvu za nchi.

Ila, katika nyakati za hivi karibu na ushawishi mwingi kutokana na utamaduni, jamii kwa sasa inawaita watu walio na ushawishi mwingi na mamlaka kama wafuasi wa illuminati. Kulingana na wao, hii ndiyo sababu tu ya wao kuwa na umaarufu mwingi, wafuasi na utajiri.

Kutoka kwa watu mashuhuri wa Youtube hadi kwa Rihanna na wachungaji wa huko Nigeria, hakuna mtu aliye juu ya alama ya illuminati. Yote unayo hitajika kufanya nikuongeza mchoro wa pembe tatu kwa video zako za muziki na kutenda miujiza ili uitwe mchungaji wa illuminati Nigeria.

Jinsi ya Kujua Wachungaji wa Illuminati Nigeria:

Kulingana na matukio ya kawaida, wachungaji wanao husishwa na illuminati mara nyingi wana mambo mengi sawa. Wana ushawishi mwingi, utajiri, na wanatenda miujiza inayo shtua akili za binadamu. Kwa uhakika hakuna mchungaji aliye masikini kwenye orodha tunayo angazia.

Hapa ni orodha ya wachungaji wanao kisiwa kuwa wa illuminati Nigeria

  • Nabii TB Joshua

pastors in illuminati in Nigeria

TB Joshua ni mchungaji wa Nigeria, mhubiri wa televisheni, na mpenda watu. Ndiye mwanzishaji wa The Synagogue Church of All Nations SCOAN); shirika la kikristo linalo ongoza televisheni ya Emmanuel Tv kutoka Lagos.

Miaka iliyo pita, SCOAN imesema kuwepo kwa miujiza ya mara kwa mara; mamia ya wageni kutoka Nigeria, Afrika yote na Latin America wametembea SCOAN. Sababu ya kipekee ikiwa? Kumwona mchungaji huyu wa Mungu. Miaka mingi iliyo pita, matayarisho mabaya ya kujenga SCOAN yali sababisha kuanguka kwa nyumba ya SCOAN. Ajali hii ilisababisha vifo vya mamia ya watu. Watu walisema kuwa alikosa kufuata maagizo ya illuminati na kusababisha ajali hiyo. Ila, huku hakukufanya watu wasijiunge na kanisa hilo.

  • Mchungaji Chris Oyakhilome

pastors in illuminati in Nigeria

Chris Oyakhilome ni mchungaji wa Nigeria na rais wa Loveworld Inc. a.k.a Christ Embassy. Christ Embassy ina kanisa nyingi katika sehemu tofauti duniani kote. Wizara ina mfumo wa maombi kwenye mtandao na televisheni ya LoveWorld na maktaba ya kidigitali inayo kubalisha kufikia mamilioni ya wafuasi duniani kote. Tofauti kati yake na bibi yake inakisiwa kuhusika na kuwa kati wa watu wanao fuata illuminati.

Wachungaji zaidi wanao kisiwa kuwa wa illuminati Nigeria

  • Rev. Father Ejike Mbaka

wachungaji walioko kwenye illuminati Nigeria

Jina lake limewapendeza watu wengi kujiunga na kanisa lake la Restoration Centre huko Enugu anako hubiri na wanazidi kuja. Ali orodheshwa kama mapadri 10 wa kikatoliki walio na nguzu zaidi. Jina lake ni maarufu sana sehemu ya mashariki mwa Nigeria, na pia anajulikana kwa hali yake ya kuto endana na wengi. Wakati wote Mbaka ako kwenye habari. Ikiwa hako kwenye habari kuhusu uponyaji wa kimiujiza, anasemekana kuwa mzuri katika maombi, ako kwenye habari kuhusu maendeleo ya kijamii nchini. Iwapo hayuko kwenye habari kuhusu maendeleo ya kisiasa huko Nigeria, ako kwa habari kuhusu kuhusika katika mambo ya kijamii. Wengi wanaamini kuwa alikuwa ana igiza wakati wa drama ya Rais Jonathan.

  • Lazarus Mouka

wachungaji walioko kwenye illuminati Nigeria

Lazarus Muoka ni mchungaji wa Nigeria, waziri wa uponyaji, mhubiri na mwandishi. Anaongoza mojawapo ya kanisa kubwa sana ya kikristo huko Nigeria inayo julikana kama Lord's Chosen Charismatic Revival Ministries. Kujulikana kwake kwingi kunatokana na kanisa na wafuasi wake. Wafuasi wake wanajulikana kwa njia zao za kidrama za kuonyesha mapenzi yao ya Mungu. Unaweza waona kwa urahisi wakiwa na nguo zao zilizo tengenezwa.

Wafuasi walio toka kanisani yake hapo awali walimlaumu kwa kufanya vitu vingi mojawapo ya hizi ikiwa ni kuabudu nyoka na kumhusisha na sharti maarufu.

Jambo moja lililo haki, mkono wa Mungu juu ya mtu huenda ukampa uwezo wa kuponya na kuwa tajiri. Kuwepo kwa Illuminati kwa wakati wake hakukuwepo zaidi ya mwongo mmoja. Kwa sasa hivi, ni njia ya kuiba watu pesa zao. Hakuna dhibitisho kuwa wanaume hawa ni wachungaji wa illuminati Nigeria.

 

Soma pia: Religion And Health: A Match Made In Heaven Or Hell?

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Lydia Ume kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio