Wamama Waongea Kuhusu Ngono: Hadithi Hizi Zitakuwacha Ukiumwa Na Mbavu!

Wamama Waongea Kuhusu Ngono: Hadithi Hizi Zitakuwacha Ukiumwa Na Mbavu!

Umewahi jiuliza kinacho endelea kwenye vyumba vya kulala vya marafiki na majirani wako? Hadithi hizi zitakufurahisha.

Mojawapo ya changamoto ngumu zaidi ya kuwa mama sio kupoteza kitambulisho chako kama mwanamke aliye oleka. Kuenda nje usiku, kufurahishana, na kuwa na ngono isiyo pangwa huenda ikawa vigumu zaidi kufanya. Kwa sababu watoto hufanya kadri wawezavyo kuharibu dakika zenu za kimapenzi. Kuongea ukweli, ni jambo la kusisimua kuwa wazazi hupata zaidi ya mtoto mmoja. Siri ni kubaki na akili na nguo - kuhusu wewe na uwezo mzuri wa kuchekesha. Dakika hizi za kuchekesha ambazo wamama waongea kuhusu ngono zitakufanya ubaki ukiumwa na mbavu na kukupatia kitu cha kukumbuka. Furahia!

Wamama waongea kuhusu ngono: hadithi hizi zitakufanya ucheke!

Yaite mashindano ya kuchekeshana

wamama waongea kuhusu ngono

"Tulidhania tulikuwa na bahati usiku mmoja baada ya watoto wetu wawili kuenda kulala mapema. Ila dakika 10 baadaye, binti yetu wa miaka mitani aliingia chumbani chetu tulipokuwa tuna 'sherehekea', akiogopa kufuatia kelele alizo sikia nje ya dirisha lake. Bwanangu alikimbia bafuni kwa kuona haya, nilimwambia yalikuwa mashindano ya kuchekeshana. 'Kwa mashindano ya kuchekeshana bila nguo?' aliuliza. Nilijibu, Kwa sababu una cheka zaidi bila nguo!" - Yetunde O.31, Lagos

Makubaliano ama la?

Wamama Waongea Kuhusu Ngono: Hadithi Hizi Zitakuwacha Ukiumwa Na Mbavu!

Nafikiria kumwambia bwanangu nitafanya mapenzi yoyote ya chaguo lake mara moja kwa wiki iwapo atanikubalisha kutafuta mtu wa kunisaidia kusafisha mara moja kwa wiki. Natumai atakubali jambo hili, kwa sababu nahitaji msaada nyumbani. Nimechoka wakati wote. Osonmeyi, 34, Lekki

Suti ya kuzaliwa

wamama waongea kuhusu ngono

Bwanangu anafanya kazi nje ya mtaa wetu sasa. Hatimaye naweza lala bila nguo kwa amani bila yeye kufikiria nina ajenda nyingine. Si hisi vibaya kwa hili. Amaka I.27, Festac

Jiwe, Karatasi, Makasi

Wamama Waongea Kuhusu Ngono: Hadithi Hizi Zitakuwacha Ukiumwa Na Mbavu!

Bwangu nami, tulitumia jiwe-karatasi-makasi kuamua atakaye kuwa juu. #tiredsex Lolade, 28, Surulere

Je, errr dildo yangu iwapi?

Wamama Waongea Kuhusu Ngono: Hadithi Hizi Zitakuwacha Ukiumwa Na Mbavu!

Ningependa kujua mahali ambako dildo yangu ya miaka mitano, ila sijui nitakavyo anzwa mazungumzo haya. Nimekuwa niki fanya mazoezi kwenye kioo, ila bado sijui nitakavyo mwuliza. Tomisin, 37, Ikeja

Apana, sio kwa kudhibiti uzaliwaji

Moms sex confessions:

Mimi hufanya bwanangu avalie kondomu wakati mwingine. Sio kwa sababu ya kudhibiti uzalishaji, ila kwa sababu nafaa fursa ya kuvalia chupi yangu na kurudi kulala huku akiamka na kwenda kujisafisha. Ahuoiza, 36, Ikorodu

Wamama waongea kuhusu ngono: Mara mbili kwa siku moja!

Moms sex confessions:

" Mume wangu nami tulipatikana mara mbili kwa siku moja! Tulikuwa na Jumamosi ya kufurahishana, kwa hivyo mtoto wetu wa kike wa miaka minne alikuwa akitizama Daniel Tiger kwenye televisheni, tulikimbia chumbani chetu cha kulala tupate matendo ya watu wazima. Hatukuwa na mlango wa chumba wetu (hadithi ndefu kuhusu kufanya mabadiliko), na dakika chache baadaye nilimwona akituchungulia. Kwa bahati nzuri, tulijifunika na blanketi, na tukaacha na kumtuma huko chini akatizame televisheni. Masaa machache baadaye, alienda kulala, kwa hivyo tukakimbia chumbani chetu kumaliza tuliyo yaanza hapo awali. Wakati ambapo mambo yalikuwa wametamba moto, nilisikia mlangoni, 'Mama, nimeamka.' Nilimwambia bwanangu kuwa hatungepata nafasi yoyote hadi pale ambapo tungetengeneza mlango. Aliurudisha usiku huo! Halima I, 28, Abuja

Anaota

"Binti yetu alipokuwa wa miaka mitatu, aliingia chumbani chetu na kuuliza, 'Mama, kuna wanyama wa pori huku? Naweza wasikia! Tulimwambi, 'Apana ulikuwa unaota.' Tunapokumbuka haya na bwana yangu, sisi hucheka hadi wa leo." Obiajulu, 32, Osapa London

Anapatiana zawadi nzuri

Moms sex confessions:

Mume wangu alininunulia vibrator huku akifikiria kuwa ingefanya nipate hamu zaidi ya kimapenzi kwake. hapana, ilimfanya asihitajike. Elo B. 42, Abuja

Wamama waongea kuhusu ngono: Mbio za masafa marefu!

wamama waongea kuhusu ngono

Wamama waongea kuhusu ngono: Nilikuwa na mbio za masafa marefu ya ngono ya kulewa na bwanangu, na hakuna kati yetu aliyemaliza. Tunge okoa wakati mwingi na bidii iwapo tungeenda kulala. Eka Eket, 41, Calabar

Kichwa cha kulala

wamama waongea kuhusu ngono

"Baada ya vinywaji vichache, nilipiga magoti kumfurahisha bwanangu, na nika lala katikati ya kitendo hicho. Uume wake ulikuwa mdomoni nwangu- kana kwamba kifaa cha kunyonya cha mtoto, huniitwa kwa utani kichwa cha kulala." Tiara R.,26, Port Harcout

Soma pia: Four sure-fire things to do when condom breaks during sex

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Ayeesha kisha yakatafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio