Watoto Hutamka Jina Mama Kwa Ufasaha Katika Umri Upi?

Watoto Hutamka Jina Mama Kwa Ufasaha Katika Umri Upi?

Mapema kabla ya watoto wangu kutamka majina 'mama' na 'dada', walikuwa wamejua mwongozo wa ujumla wa mazungumzo na lugha. Ila hakuna zilizo dhibitika hadi pale walipokuwa miaka miwili. Kabla ya hapo, ilikuwa majina kama 'eeh', 'ooh' na 'ahh' katika wiki za kwanza nne hadi nane. Sio dhabiti wakati ambapo watoto hutamka jina mama kwa ufasaha lini.

Watoto walianza kutamka maneno na ndimi na midomo zao. Kisha maneno huwa bayana zaidi na unaweza sikia yanapo tamkika. Mara kwa mara, unaskia jina mama-mama na dada-dada. Katika mwezi wake wa tano, mtoto wa tatu alijaribu kutamka jina la dadake- 'Ola Ola Ola,' aliitana kwa upole sana, kama alivyo sikia watoto na watu wazima wengine wakifanya.

watoto hutamka jina mama kwa ufasaha lini

Watoto na Lugha

Hakuna ushuhuda wa kuonyesha kuwa watoto wanamaanisha vitu vyote wanavyo sema. Hata hivyo, haupaswi kupuuza uwezo wa mtoto kuchakata lugha wakiwa wangali wadogo. Masomo ya utafiti yame dhihirisha kuwa kuchakata lugha huanza mtoto anapokuwa angali kwenye uterasi. Watafiti pia husema kuwa kusomea mtoto akiwa tumboni vitabu huhimiza kusoma kwa mapema.

Mtoto anapokuwa tumboni, anaweza bainisha sauti ya mamake na ya watu wengine. Watoto wanaweza sikiza muziki pia, kwa hivyo tafadhali unacheza muziki kwa sauti ya chini.

 Ila, huenda ukashangaa, wakati ambapo watoto hutamka jina mama kwa ufasaha

Watoto hukua kwa muda tofauti. Wakati ambapo wengine huanza kuongea mapema, wengine huonekana kana kwamba hawana mbio ya kuongea. "Wakati wa kukua hutofautiana hata kwa watoto walio zaliwa kwa wazazi sawa, na kulelewa kwa mazingira sawa," alisema daktari Faith Kwukie ambaye ni mtaalum wa lugha na mazungumzo kutoka hospitali kuu ya Boston Massachusetts. "Kwa watoto wengi, katika miezi saba ndipo wanapo anza kutamka jina 'mama' 'dada', 'gaga' na 'tata'. Wanaanza kutamka majina kwa ufasaha wanapokuwa katika mwezi wa tisa kuendelea.

Je, wanaelewa majina waliyo tamka kweli? Huenda ikawa hawaelewi. Huenda wakaanza kutumia majina haya vyema wanapofikisha mwaka mmoja.

Kuwa makini ili usipitwe na dakika hii ambayo umengoja kwa muda mrefu watoto wanapo tamka jina mama kwa ufasaha.

watoto hutamka jina mama kwa ufasaha lini

Vidokezo vya kumsaidia mtoto wako kuongea

Iwapo uwezo wa kuzungumza wa mtoto wako hauimariki katika kipindi kinacho faa, huenda ukawa umechoka kuuliza maswali, watoto hutamka jina mama kwa ufasaha lini? Lengo lako ni kuboresha uwezo wa lugha na mazungumzo wa mtoto wako.

Kuna hatua rahisi ambazo unaweza chukua kumsaidia mtoto wako kuongea kwanza. Hatua ya kwanza ni kumpa mazingara yanayo kubalisha na kuegemeza mazungumzo. Hapa ni baadhi ya vitu ambavyo unaweza fanya:

1. Mwongeleshe mtoto wako

Ongea na mtoto wako. Unaweza anza na kumwambia maneno kama vile, "Nakupenda" na "Wewe ni mrembo". Waeleze kuhusu siku yako na malengo yako. Tumia maneno yanayo eleza kinaga ubaga. Na unapo sema kitu, eleza mchakato huo kwa mtoto. Eleza watu na vitu vilivyo karibu yako. Mwimbie nyimbo za watoto.

Wataalum wa mazungumzo na lugha wanashauri lugha iliyo rahisi kuelewa. Epuka kusema maneno mbio kwa mtoto wako. Kuongea kwa ufasaha kutamhimiza mtoto wako kuongea vizuri.

2. Soma

Kumsomea hadithi na mashahiri kutamsaidia kuboresha uwezo wake wa kuzungumza. Kulingana na watafiti, watoto wanapenda sauti za watoto wao. Mtoto wako atasoma maneno unayo yatamka kutoka kwa vitabu.

Watoto husikia maneno kutoka kwa mashahiri ya watoto yakiwatuliza. Ili kusaidia mtoto wako, watoto hutamka jina mama kwa ufasaha lini, tumia wakati mwingi ukimfunza vitu vya watoto. Na utafurahi.

3. Kuwa msikilivu

Usikubali kupuuza mwito wa mtoto wako mdogo. Huenda ukaumiza hisia zake na kumfanya akate moyo. Unapaswa kumsikiliza na kuwa na mtoto wako hasa anapo jaribu kuongea. Punde tu, mtoto wako ataweza kusema jina mama na kulimaanisha.

Kila mzazi anatamani kuwaona wazazi wake wakimaliza hatua zote muhimu za maisha. Wamama wanataka kusikia watoto wao wakisema mama na kumaanisha maneno yao. Wababa hutazamia watoto wao wanapo waangalia na kusema dada. Baadhi ya wakati, hatua hizi zinahitaji bidii na uvumilivu. Hatua rahisi kama vile mtoto wako kusoma, kuwasikiza, kucheza muziki na kuwaongelesha huenda kukawasaidia kuboresha uwezo wao wa kusoma lugha. Hauja chelewa sana kumfunza mtoto wako.

Kumbukumbu: BBC, The Telegraph

Soma pia: Kissing a baby on the lips

Written by

Risper Nyakio