Jinsi Lishe Yenye Afya Itakavyo Epusha Mtoto Kukosa Maji Tosha Mwilini

Jinsi Lishe Yenye Afya Itakavyo Epusha Mtoto Kukosa Maji Tosha Mwilini

Lishe iliyo na bidhaa nyingi za maziwa inaweza sababisha watoto kukosa maji mwilini. Ni vyema kuhimiza lishe yenye afya kutatua tatizo hili.

Mtoto wa wastani huwa na mwendo wa tumbo angalau mara moja kwa siku. Baadhi ya watoto huenda baada ya siku moja, ila kukosa maji tosha mwilini ni kawaida kwa baadhi ya watoto. Mara nyingi, mtoto aliye na mwendo wa tumbo ama kwenda msalani mara chache kuliko tatu kwa wiki (ama chache zaidi kuliko kawaida yake), na ambaye kinyesi chake ni kigumu na ana tatizika kukitoa hana maji tosha mwilini. Pia kulingana na watafiti, mtoto yeyote aliye na kinyesi kilicho kikubwa, kigumu, kilicho kauka na anacho hisi uchungu akipitisha, kujichafua kati ya kupitisha kinyesi, ama kuacha damu kwenye kinyesi ana tatizo la kukosa maji tosha mwilini.

Ni Wakati Upi Unao Paswa Kuwa Na Shaka?

Jinsi Lishe Yenye Afya Itakavyo Epusha Mtoto Kukosa Maji Tosha Mwilini

Usijali iwapo mtoto wako ana onyesha dalili za kukosa maji tosha mwilini. Ni kawaida angalau mara moja kwa muda. Lakini iwapo hali hii kwenye mtoto wako inakaa kwa wiki mbili ama zaidi inajulikana kama hali sugu.

Daktari wako huenda akakuuliza uweke rekodi ya mwendo wa tumbo wa mwanao. Mara ambazo una tendeka, kiasi chake, ugumu wake na iwapo kuna damu yoyote kwenye kinyesi chake. Unapaswa kuangalia ishara zingine ambazo huenda zikatokea pamoja na upungufu ule wa maji mwilini, kama vile:

  • Kuumwa na tumbo
  • Kufura tumbo
  • Kuhisi kutapika
  • Kukosa hamu ya kula
  • Ulegevu
  • Kulia ama kupiga nduru anapo kunya
  • Kuto taka kutumia choo (ishara kuwa mtoto wako anafanya hivi ni kuwekelea mguu juu ya mwingine, kugeuka kuwa mwekundu, kutoa jasho, ama kulia)
  • Uchafu wa unyevu nyevu kwenye nguo zake za ndani ama diaper

Kinacho Fanya Watoto Kuwa Na Upungufu Wa Maji Mwilini?

Jinsi Lishe Yenye Afya Itakavyo Epusha Mtoto Kukosa Maji Tosha Mwilini

Kuna vitu kadha wa kadha ambazo zinaweza sababisha upungufu wa maji mwilini mwa watoto wachanga, kutoka kwa lishe hadi kwa matibabu. Hapa kuna vitu vichache ambavyo mara nyingi husababisha:

Lishe. Sababu kuu ya ukosefu wa maji tosha mwilini mwa mtoto mchanga ni lishe iliyo na wingi wa chakula kilicho chakatwa, bidhaa za maziwa, switi na fiber ndogo (kama nafaka, matunda na mboga). Kuto pata maji tosha pia kunaweza sababisha upungufu wa maji mwilini, kwa sababu kunafanya kinyesi kiwe kigumu. Mabadiliko yoyote kwenye lishe-- kama vile mtoto wako anapo koma kunywa maziwa ya mama ama kutoka kwa formula hadi kwa maziwa ya ng'ombe ama kuanza kula vyakula vipya-- pia kunaweza dhuru kinyesi chake.

Kukikaza. Mtoto wa kawaida wa miaka miwili ana hamu kubwa ya kucheza na vidoli ikilinganishwa na kwenda msalani. Baadhi ya watoto wana ona haya ama kuwa na uwoga wa kutumia msalani, hasa inapokuwa ni choo cha umma. Watoto wachanga wanao pingana na mafunzo ya kutumia choo baadhi ya wakati hueleza mapigano yao ya kinguvu wanapo kataa kwenda.

Uwoga wa kutokuwa na starehe. Watoto wachanga ambao wame hisi uchungu wakienda msalani hapo awali baadhi ya wakati huepuka kuenda msalani na hofu kuwa wataumwa tena. Kuto tumia bafu kunaweza kuwa jambo lisilo mstarehesha. Kinyesi huanza kuwa kingi kwenye sehemu ya chini ya tumbo, na kuwa kikubwa na kigumu hadi kina aanza kutatiza unapo kipitisha na chenye uchungu.

Mabadiliko katika ratiba. Kutoka nyumbani na kuwa mbali na choo yao ya kawaida kunaweza fanya watoto wengine kukosa kutaka kutumia choo.

Kukosa kufanya mazoezi ya fizikia. Mazoezi yana saidia na mwendo wa chakula kwenye mfumo wa kuchakata chakula mwilini.
Ugonjwa. Mabadiliko kwenye hamu ya kula kufuatia vijidudu tumboni ama aina yoyote ya magonjwa kuna weza athiri lishe ya mtoto wako na kusababisha upungufu wa maji mwilini.
Matibabu. Kuna aina ya dawa ambazo zinaweza sababisha mtoto kuwa na upungufu wa maji mwilini, dawa zilizo na viwango vingi vya iron ama dawa za kutibu uchungu za narcotic. Ila formula ya mtoto iliyo na viwango vidogo vya iron haisababishi constipation.
Hali za fizikia. Katika kesi zilizo nadra, tatizo la utumbo, huenda likasababisha kukosa maji tosha mwilini. Cerebral palsy na hali zingine za kiafya za mfumo wa neva zinaweza athiri uwezo wa mtoto wako wa kwenda msalani.

Matibabu Ya Kukosa Maji Tosha Mwilini Katika Watoto

Jinsi Lishe Yenye Afya Itakavyo Epusha Mtoto Kukosa Maji Tosha Mwilini

Wakati ambapo upungufu wa maji mwilini mwa mtoto ni tatizo, unaweza jaribu mojawapo ya matibabu haya:

Lishe. Ili kufanya kinyesi kiwe rahisi na kukipitisha kwa urahisi, ongeza kiwango cha bidhaa zisizo za maziwa na fiber ambazo mtoto wako anapata kila siku. Vyakula vyenye fiber nyingi kama vile matunda na sharubati ya matunda inayo kuwa na sorbitol (prune, maembe na pear), mbogha (broccoli, peas), maharagwe na mkate wa nafaka nzima na nafaka. Punguza vyakula ambavyo vinaongeza upungufu wa maji mwilini kama vile vyakula vya ufuta vilivyo na viwango vidogo vya fiber. Punguza maziwa hadi kwa ounsi 16 kwa siku.

Mazoezi. Hakikisha kuwa mtoto wako mchanga anatoka nje kucheza angalau kwa dakika 30-60 kwa siku. Kufanya mazoezi ya mwili kuna fanya tumbo ifanye zoezi pia.

Imarisha tabia za tumbo. Mhimize mtoto wako kutumia choo saa fulani wakati wa mchana, hasa baada ya kula na wakati wowote anapo hisi haja ya kwenda chooni. Mwache mwanao akae angalau kwa dakika 10 kila mara. Weka kifaa kidogo chini ya miguu yake kumsaidia kupanda na kushuka. Mpongeze anapo tumia choo kwa kumpa hadithi spesheli ama kitu kingine anacho penda.
Dawa. Mtaalum wa afya ya watoto huenda aka shauri matibabu ya kutibu mtoto kukosa maji mwilini. Huenda pia ukahitajika kujadili kuacha ama kubadili dawa ambazo mtoto wako anatumia, iwapo hizo ndizo zinazo sababisha upungufu wa maji mwilini mwake.
Kumbukumbu: Web MD
Soma pia: 

Written by

Risper Nyakio