Watu Mashuhuri Tunao Wapenda Zaidi Waliopata Mimba 2019

Watu Mashuhuri Tunao Wapenda Zaidi Waliopata Mimba 2019

Tazama orodha hii ya watu mashuhuri waliopata mimba 2019.

Mwigizaji mashuhuri wa Nollywood waliye na kipaji, Mercy Johnson Okojie ana tarajia mtoto. Hivi majuzi alithibitisha haya kwenye kurasa yake ya Instagram na kujiunga na orodha ya watu mashuhuri waliopata mimba 2019.

Watu mashuhuri waliopata mimba 2019

Nigerian celebrities who became pregnant in 2019

Kwa maneno yake, alisema kuwa maombi yake ilikuwa kupata watoto wanne, ila baada ya mtoto wake wa tatu, alifikiria kuwa huyo angekuwa wa mwisho. Aliandika: "Tuna tarajia mtoto. Wakati wote, nilikuwa nataka watoto wanne...Walakini, baada ya watatu, nilidhania kuwa nimestaafu kutoka kwa tasnia ya kupata watoto. Kwa hivyo, hivi majuzi tuligundua kuwa tuna tarajia mtoto."

Kama ilivyo tarajiwa, mama huyu wa watoto watatu alifurahikia jambo hili sana. Kuandika zaidi, alisema kuwa furaha aliyo kuwa nayo haiwezi elezeka. "Siwezi eleza ninacho hisi, amani na furaha ambayo mtoto tunaye tarajia imeleta, ama hata hamu ya chakula iliyo fuata. Mimi hupata hisia kwa urahisi, hata sasa nimeanza kulia kufuatia furaha tena, aliandika.

"Nawajulisha hivi familia yangu ya maisha, kushikilia kutoka siku ya kwanza, kukua na familia yangu nami na wakati wote kutuonyesha mapenzi yote. Nawapenda sana. Mtoto Okojie 2020 anajitayarisha. Mungu awabariki!!!!"

Watu wengine mashuhuri waliopata mimba 2019

  • Halima Abubakar

Mwigizaji huyu mwenye kipaji na aliye mrembo ni mama mtarajia, uvumbuzi aliofanya mwezi wa Novemba kupitia kwa kurasa yake ya Instagram. Ali dokeza kwa kusema kuwa alikuwa ana tarajia 'Lil Minnie' ama mdogo wake na hange ngoja kuwa mama. Aliandika, "Smile of gratitude and am expecting a Lil Minnie?motherhood#wcwalways❤," she wrote.

nigerian celebrities who became pregnant in 2019

 

  • Maureen Solomon

Maureen ni moja wapo ya watu wanao julikana zaidi katika Hollywood aliye jitengenezea jina kupitia kwa uigizaji wake wa kufurahisha. Ila baada ya kufunga pingu za maisha na mume wake ambaye ni millionea, alionekana kutoka machoni mwa umma. Walakini, hivi karibuni kwenye kurasa yake ya Instagram, aliweka picha ya tumbo yake, kwani ana mimba. Ni dhahiri kuwa furaha yao haina kipimo.

maureen solomon

 

  • Stephanie Coker

Stephanie Coker alikuwa moja wapo ya watu mashuhuri waliopata mimba mwaka wa 2019. Siku ya kuzaliwa kwake, mwigizaji huyu aliwaonyesha watu picha ya tumbo yake pamoja na bwanake Olumide Aderinokun. Aliandika: Mwaka huu siku ya kuzaliwa kwangu ni ya shukrani kwa sababu Mungu alijua alitaka kunipatia sherehe mara tatu. Nina mengi sana ya kumpatia shukrani. Huu ulikuwa mpango wa Mungu. Siku nzuri ya kuzaliwa kwangu yangu ??❤️??. #African&Pregnant

watu mashuhuri waliopata mimba 2019

 

  • Chioma Avril Rowland

Hapo mwanzoni, Chioma alikana habari kuwa alikuwa na mimba, ile mumewe Davido ali thibitisha kuwa walikuwa wana tarajia mtoto katika kurasa yake ya Instagram. Aliandika: Maisha ya kupendeza. Bibi yangu mrembo. Asanti kwa kila kitu @thechefchi! Na asanti kwa tunacho kitarajia!

watu mashuhuri waliopata mimba 2019

Kitu kingine cha kufurahia ni kuwa wote hawa wali jifungua salama. Tuna watakia mama wote wanao tarajia kujifungua mwaka huu mema. Je, kuna mtu mashuhuri aliye baki nyuma? Tujulishe kwa kuwacha ujumbe mfupi.

Soma pia: Funke Akindele Celebrates Twins First Birthday

Pulse

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Lydia Ume kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio