Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Faida Za Kiafya Za Tendo La Ndoa Kwa Wanandoa

2 min read
Faida Za Kiafya Za Tendo La Ndoa Kwa WanandoaFaida Za Kiafya Za Tendo La Ndoa Kwa Wanandoa

Viwango sawa vya homoni mwilini vina dhibiti mhemko wa hisia, kusawasisha vipindi vya hedhi na pia jinsi unavyo ongeza uzito mwilini.

Mengi yamesemwa kuhusu ngono huku utafiti zaidi ukizidi kufanyika kuhusu mada hii na bila shaka kubainika kuwa kuna faida za tendo la ndoa hasa kwa afya. Ngono sio muhimu kwa kujifurahisha tu kati ya wanandoa, mbali ni muhimu katika maisha yenye afya. Utafiti unao zidi kufanyika umebainisha kuwa ngono yaweza kusaidia kuishi maisha marefu zaidi.

Mkurugenzi mkuu wa afya ya ngono katika hospitali ya Alvarado, daktari bwana Irwin Goldstein amechapisha ripoti inayo toa shaka zote kuwa ngono ina manufaa mengi ya kiafya kwa binadamu. Kuna mengi ambayo hukuyafahamu kuhusu tendo la ndoa. Kwa hivyo mnapo shishughulisha katika tendo hili na mchumba wako, fahamu kuwa mwili wako unafaidi pia. Tuna angazia njia tofauti ambazo mwili wako una faidika unapo juhusisha mara kwa mara katika tendo hili la kufanya mapenzi na mwenzio.

Faida za kiafya za tendo la ndoa

faida za tendo la ndoa

  1. Linasaidia katika kupunguza uzani

Kufanya mapenzi ni sawa na kufanya mazoezi. Tendo hili lina zidisha mzunguko wa damu mwilini mwako na mpigo wa moyo. Hata kama kalori unazo choma katika tendo hili sio sawa na unapo kimbia, hii ni zoezi unayo furahia kuifanya. Na zoezi yoyote ile inakusaidia kukata uzani wa mwili.

2. Ngono ina pigana dhidi ya homa na baridi

Utafiti uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Wilkes ulionyesha kuwa, watu wanao fanya ngono mara kwa mara wana vikinga mwili ama antibodies zaidi ikilinganishwa na watu wasio fanya mapenzi. Kwa njia hii, miili yao inaweza kupigana dhidi ya vimelea vinavyo sababisha magonjwa. Hii ni mojawapo ya sababu kwa nini wanandoa wanashauriwa kujihusisha katika tendo la ndoa mara kwa mara.

faida za tendo la ndoa

3. Kusawasisha viwango vya homoni mwilini

Viwango sawa vya homoni mwilini vina dhibiti mhemko wa hisia, kusawasisha vipindi vya hedhi na pia jinsi unavyo ongeza uzito mwilini.

4. Kupunguza hatari za ugonjwa wa moyo

Masomo tofauti yanayo zidi kufanyika yameonyesha kuwa, kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kuna husishwa na maisha marefu. Kivipi? Tendo hili linapunguza athari za kupata mshtuko wa moyo, kiharusi na magonjwa mengine ya moyo.

5. Kupunguza mawazo mengi

Unapo fanya tendo la ndoa, mwili wako unatoa homoni ya oxytocin inayo tuliza neva zako. Homoni hii inapunguza athari za cortisol ambayo ni homoni ya kukwazwa kimawazo. Kwa njia hii, unaweza kulala vyema zaidi na mawazo mengi akilini yana pungua.

Soma Pia: Mitindo Tofauti Ya Kufanya Ngono! Staili 7 Mashuhuri

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Relationship & Sex
  • /
  • Faida Za Kiafya Za Tendo La Ndoa Kwa Wanandoa
Share:
  • Tendo La Ndoa Ni Bora Kwa Afya Na Uhusiano Wako: Kwa Njia Hizi

    Tendo La Ndoa Ni Bora Kwa Afya Na Uhusiano Wako: Kwa Njia Hizi

  • Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

    Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

  • Umuhimu Wa Tendo La Ndoa Katika Ndoa

    Umuhimu Wa Tendo La Ndoa Katika Ndoa

  • Vyakula 5 Bora Zaidi Katika Kuongeza Hamu Ya Tendo La Wanandoa

    Vyakula 5 Bora Zaidi Katika Kuongeza Hamu Ya Tendo La Wanandoa

  • Tendo La Ndoa Ni Bora Kwa Afya Na Uhusiano Wako: Kwa Njia Hizi

    Tendo La Ndoa Ni Bora Kwa Afya Na Uhusiano Wako: Kwa Njia Hizi

  • Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

    Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

  • Umuhimu Wa Tendo La Ndoa Katika Ndoa

    Umuhimu Wa Tendo La Ndoa Katika Ndoa

  • Vyakula 5 Bora Zaidi Katika Kuongeza Hamu Ya Tendo La Wanandoa

    Vyakula 5 Bora Zaidi Katika Kuongeza Hamu Ya Tendo La Wanandoa

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it